There are many things to consider when parents enroll a child into a care center or other form of paid childcare, and there is much controversy surrounding the potential benefits and harm caused by this type of care. |
Kuna mambo mengi ya kuzingatia wakati ambapo wazazi wanamsajili mtoto katika kituo cha malezi au aina nyingine ya malezi ya watoto, pia kuna utata mwingi unaohusiana na manufaa pamoja na madhara yanayo sababishwa na aina hii ya malezi. |
The parental decisions of leaving a child with someone and who that someone will be are two of the most difficult decisions in the lives of most parents. |
Maamuzi ya kumuacha mtoto, na mlezi na mlezi huyo ni mtu wa aina gani ni mambo mawili magumu yanayo watatizawazazi kati ka maisha yao. |
A parent must consider the safety and security of their children when making this decision. |
Mzazi lazima azingatie usalama wa watoto wake wakati wa kufanay uamuzi huu. |
The development of a child has many factors, but it is most directly influenced by the type and quality of care that is most regularly provided to the child. |
Ukuaji wa mtoto una mambo mengi ya kuzingatia, lakini huathiriwa moja kwa moja na aina na ubora wa malezi yanayotolewa mara kwa mara kwa mtoto. |
Child development researcher, Lian Tong, analysed the results from a Haley and Stansbury experiment saying, "Parent responsiveness also facilitates cognitive, social, and emotional development and reduces negative emotions in infants." |
Mtafiti wa makuzi ya watoto, Lian Tong, alichambua matokeo ya utafiti wa Haley ans Stansbury akisema kua " kuwajibika kwa wazazi kunachangia katika kurahisisha ukuaji wa utambuzi, kijamii na kihisia na kupunguza hisia hasi. kwa watoto. |
That is, the amount of time that a parent or teacher is willing to spend teaching, listening to, playing with, and exploring with the child the more socially, emotionally, and educationally developed the child will become. |
Hivyo basi, muda ambao mzazi au mwalimu yuko tayari kutumia kufunza, kusikiliza, kucheza na kuchunguza mtoto kutamsaidia mtoto kukua kijamii, kihisia na kielimu. |
Whether that child receives the majority of his or her care at a center or at its house, the biggest factor in deciding what will have the best effect on the child will be those willing to put in the time and effort it takes to properly develop a child's social, physical, and academic skills. |
Haijalishi kua mtoto huyo anapata sehemu kubwa ya uangalizi wake kituoni au nyumbani kwao, ila jambo kuu katika katika kuamua ni nini kitakachokua na matokeo bora zaidi kwa mtoto kitakua ni wale walio tayari kutenga wakati wao na jitihada zinazohitajika ili kuendeleza ijuzi wakijamii, kimwili na kitaaluma wa mtoto ipasavyo. |
The quality of childcare given by a facility is generally indicated by the center's cost of enrollment. |
Ubora wa huduma inayotolewa katika kituo cha watoto huonyeshwa na gharama ya uandikishaji ya kituo. |
If the center charges more for the service, it will generally provide better care to the children. |
Iwapo kituo kinatoza hela ya juu kwa hudumu, basi kwa ujumla kitatoa huduma bora kwa watoto. |
Centers that charge more for their services can provide quality education, more current resources, and nicer facilities. |
Vituo vinavyotoza hela nyingi katika huduma zao vina elimu bora, rasilimali ya juu pamoja na vifaa vya kisasa. |
These are all helpful when trying to educate a child academically. |
Vyote hivi ni vinasidia/ ni muhimu unapojaribu kumu elimisha mtoto kimasomo. |
A higher standard for teachers, such as requiring a degree in early childhood education or a degree of the like, has shown to result in improved growth in the development of a child. |
Kuwepo kwa mahitaji ya masomo ya kiwango cha juu kama vile digrii katika elimu ya utotoni kumesaidia kuboresha matokeo bora katika ukuaji wa mtoto. |
Whether at an expensive facility or relatively inexpensive, children who attend daycare facilities tend to develop social skills more quickly than children of the same age group that are reared at home. |
Iwe katika kituo cha bei ghali au cha bei nafuu, watoto wanaohudhuria vituo vya kulea watoto hua wanastawisha ujuzi wa kijamii haraka zaidi kuliko watoto wa rika moja wanaoelelewa nyumbani. |
They communicate better with children of the same age and often try harder to communicate with those that are younger than them, by using patience and taking different approaches at presenting the data. |
Watoto hawa wana wasiliana vyema na watoto wa rika moja na mara nyingi hujaribu zaidi kuwasiliana na wale walio na umri mdogo kuliko wao kwa kutumia subira na kuchukua mbinu tofauti katika kwasilisha data. |
Surprisingly, a study done by Erik Dearing, has proven that negative social behavioral patterns are not directly connected to daycare. |
Cha kushangaza ni kuwa, uchunguzi uliofnywa na Erik Dearing umedhibitisha kuwa mifumo mibaya ya tabia ya kijamii haihusiani moja kwa moja na utunzi wa watoto. |
By studying a large selection of children from the Norwegian childcare system he concluded that the number of hours a child spends at a daycare and their behavior have no dependent relations. |
Kwa kuzingatia uchunguzi wake alioufanya kwa idadi kubwa ya watoto kutoka kwa mfumo wa elimu wa Norway, alihitimisha kuwa idadi ya masaa ambayo mtot hutumia kwenye kituo cha kulea watoto na tabia zao hazina uhusiano wowote tegemezi. |
Though in America, Children who attend childcare systems have a higher risk of externalizing the symptoms of negative social behavior, exhibiting these traits can directly correlate with their time spent in the center. |
hata ingawa huko marekani watoto wanaohudhuria mifumo ya malezi ya watoto wana hatari kubwa zaidi ya kudhihirisha tabia mbaya katika kijamii, hulka hizi zinaweza kuwiana moja kwa moja na muda wanaokaa kwatika vituo hivo. |
There are links between the income, education, and importance of consistency and the well being of the child, to the parents, and the development of their child. |
Kuna Uhusiano kati ya mapato ya na elimu ya mzazi ambao unachangia katia ukuaji, udhabiti na ustawi wa mtoto. |
Higher educated parents place more importance on the education of their children than the parents who do not have a college degree or have not graduated from high school. |
Wazazi wenye elimu ya juu huweka umuhimu zaidi katika elimu ya watoto wao kuliko wazazi ambao hawana shahda ya chu kikuu au hawajahitimu kutoka shule ya upili. |
Likewise, parents who have a higher income level are more willing to part with their money to purchase a private tutor or nanny to assist the parent in the education of their child. |
Vilevile, wazazi walio na kiwango cha juu cha mapato wako tayari kutengana na pesa zao ili kununua mwalimu wa kibinfsi au yaya ili kuwasaidia kuelimisha mtoto. |
They also tend to stress the importance of being socially inept. |
Pia wana mwelekeo wa kusisitiza umuhimu wa kutokua na uwezo wa kijamii. |
The first few years of a child's life are important to form a basis for good education, morality, self-discipline and social integration. |
Miaka ya kwanza katika maisha ya mtotoni muhimu katika kuunda msingi wa elimu bora, maadili, nidhamuna ushirikiano wa kijamii. |
Consistency of approach, skills and qualifications of caregivers have been shown in many studies to improve the chances of a child reaching his or her full potential. |
Tafiti nyingi zimeonyesha kua udhabiti wa mbinu, ujuzi na sifa za walezi zinachangia kuboresha uwezo wa mtoto kufiks uwezo wake kamili. |
Child care in much of western society is currently in crisis: there are not enough daycare spots, the cost for most parents is beyond their means, and child care staff are grossly underpaid. |
Malezi ya watoto katika nchi za wazungu yako katika hali mbaya kwani kwani hakuna sehemu za kulea watoto za kutosha, gharama ya vituo hivo vike nje ya uwezo wao, vilevile walezi wa watoto wanalipwa ujira mdogo. |
Starting wages for Early Childcare Educators start at $11 or $12, causing a high turnover rate, and decreases the likelihood of potentially safe, effective, and loving child care providers from even entering the field. |
Misharaha ya kuanzia kwa waelimishaji wa malezi ya watoto wachanga huanzia $11 au $12, hivyo kusababisha kiwango cha juu cha mauzo, na kupunguza uwezekano wa walezi wa watoto walio salama, wenye upendo na wanofaa kuingia katika taaluma hii. |
According to a survey done by HiMama, 68% of for-profit child care organizations ranked 'Labor' as their top risk and 65% ranked 'Talent and Recruitment' as their top priority for 2017. |
Kulingana na utafiti uliofanywa na HiMama, 68% ya masharika ya malezi yaliyo katika biashara yaliorodhesha 'uwepo wa kazi' kama hatari yao kuu ilhali 65% walivipa 'Vipaji na uajiri' vipaumbele katika mwaka wa 2017. |