Journalism is the production and distribution of reports on the interaction of events, facts, ideas, and people that are the "news of the day" and that impacts society to at least some degree. |
Uandishi wa habari ni uzalishaji na usambazaji wa ripoti juu ya mwingiliano wa matukio, ukweli, maoni, na watu ambao ni "taarifa ya siku" na inaatharisha jamii angalau kwa kiwango flani. |
The word applies to the occupation (professional or not), the methods of gathering information, and the organizing literary styles. |
Neno hilo linatumika kwa kazi (kitaaluma au la), kama njia ya kukusanya habari, na kuzipanga kwa mtindo wa kifasihi. |
Journalistic media include: print, television, radio, Internet, and, in the past, newsreels. |
Baadhi ya maandishi ya habari ni: magazeti, runinga, redio, mtandao, na, pale kitambo, filamu za habari. |
Concepts of the appropriate role for journalism varies between countries. |
Dhana za jukumu mwafaka za uandishi wa habari hutofautiana baina ya nchi. |
In some nations, the news media is controlled by a government intervention, and is not a fully independent body. |
Katika mataifa mengine, vyombo vya habari vinadhibitiwa na uingiliaji wa serikali. |
In others, the news media is independent from the government but the profit motive is in tension with constitutional protections of freedom of the press. |
Kwa mengine, vyombo vya habari ni huru kutoka kwa serikali lakini nia ya faida imo katika mvutano na kinga inayotolewa na katiba ya uhuru wa vyombo vya habari. |
Access to freely available information gathered by independent and competing journalistic enterprises with transparent editorial standards can enable citizens to effectively participate in the political process. |
Kupata taarifa inayopatikana bure iliyokusanywa na mashirika huru ya habari yanayoshindana yaliyo na viwango wazi vya uhariri yanaweza wezesha mwananchi kujihusisha kikamilifu katika mfumo wa kisiasa. |
In the United States, journalism is protected by the freedom of the press clause in the First Amendment. |
Katika marekani, uandishi wa habarii umelindwa na uhuru wa kifungu cha wanahabari katika marekebisho ya kwanza. |
The role and status of journalism, along with that of the mass media, has undergone changes over the last two decades with the advent of digital technology and publication of news on the Internet. |
Jukumu na hali ya uandishi wa habari, pamoja na ule wa vyombo vya habari, vimepitia mabadiliko katika miongo miwili iliyopita kwa ujio wa teknolojia ya kidijitali na uchapishaji wa taarifa kwenye mtandao. |
This has created a shift in the consumption of print media channels, as people increasingly consume news through e-readers, smartphones, and other electronic devices, challenging news organizations to fully monetize their digital wing, as well as improvise on the context in which they publish news in print. |
Hii imetengeneza uhamisho katika matumizi ya mbinu za magazeti, kwa sababu watu wanazidi kutumia taarifa kupitia kompyuta, rununu, na vifaa vinginevyo vya elektroniki, huku ikizua changamoto kwa mashirika ya habari kuegemea mapato kikamilifu katika bawa la kijiditali, vilevile kubuni muktadha ambao utachapisha habari kwa magazeti. |
Notably, in the American media landscape, newsrooms have reduced their staff and coverage as traditional media channels, such as television, grapple with declining audiences. |
Hasa, katika mandhari ya vyombo vya habari vya marekani, vyumba vya habri vimepunguza wafanyikazi wao na chanjo kadiri ya vyombo vya kitamaduni vya habari , kama vile runinga, zikikumbwa na udidimifu wa hadhira. |
For instance, between 2007 and 2012, CNN edited its story packages into nearly half of their original time length. |
Kwa mfano, kati ya 2007 na 2012, CNN ilihariri vifurushi vya ngano zao kwa karibu ya nusu ya urefu wa wakati wao halisi. |