Journalism is the production and distribution of reports on the interaction of events, facts, ideas, and people that are the "news of the day" and that impacts society to at least some degree. |
Uwanahabari ni kutoa na kusambaza ripoti za uhusiano wa matukio, ukweli, mawazo na watu ambazo ndizo "habari za siku" na ambazo zinaathiri jamii kwa kiwango fulani. |
The word applies to the occupation (professional or not), the methods of gathering information, and the organizing literary styles. |
Hili jina linatumika kwa hio taaluma (maalum au la), njia za kukusanya habari, na mapngilio wa mitindo ya ufasaha. |
Journalistic media include: print, television, radio, Internet, and, in the past, newsreels. |
Vyombo vya uwanahabari vinajumuisha: uchapishaji, runinga, redio, mtandao na hapo kale mikanda ya habari. |
Concepts of the appropriate role for journalism varies between countries. |
Dhana halisi za jukumu la uwanahabari hutofautiana kati ya nchi. |
In some nations, the news media is controlled by a government intervention, and is not a fully independent body. |
Katika mataifa fulani, chombo cha habari hudhibitiwa na mwingilio wa serikali, wala si kitengo huru. |
In others, the news media is independent from the government but the profit motive is in tension with constitutional protections of freedom of the press. |
Kwengine, chombo cha habari ki huru kutokana na serikali lakini nia ya faida inalingana na ulinzi wa katiba katika uhuru wa vyombo vya habari. |
Access to freely available information gathered by independent and competing journalistic enterprises with transparent editorial standards can enable citizens to effectively participate in the political process. |
Upatikanaji wa habari zilizo huru zinazokusanywa na vitengo huru vya uwanahabari na zilizo na uwazi wa kiwango cha uharirri vinaweza kusaidia wananchi kuhusika na mckakato wa kisiasa. |
In the United States, journalism is protected by the freedom of the press clause in the First Amendment. |
Huko Marekani, uwanahabari unalindwa na uhuru wa vyombo vya habari hulindwa na kipengee cha Marekebisho ya Kwanza. |
The role and status of journalism, along with that of the mass media, has undergone changes over the last two decades with the advent of digital technology and publication of news on the Internet. |
Jukumu na hali ya uwanahabari, pamoja na ile ya utangazaji umepitia mabadiliko katika miongo miwili iliyopita kupitia tecknolojia ya kidijitali na uchapishaji wa habari katika mitandao. |
This has created a shift in the consumption of print media channels, as people increasingly consume news through e-readers, smartphones, and other electronic devices, challenging news organizations to fully monetize their digital wing, as well as improvise on the context in which they publish news in print. |
Hii imeleta mabadiliko katika utumiaji wa vituo vya uchapishaji, kwa kuwa watu kwa pakubwa hupata habari kupitia mtandao, sikanu, na vifaa vingine vya kielectroniki, na kuwapa changamoto mashirika ya habari kupata mapato kwa sehemu ya digitali, na pia ubunifu kulingana na habari wanazozichapisha. |
Notably, in the American media landscape, newsrooms have reduced their staff and coverage as traditional media channels, such as television, grapple with declining audiences. |
Hasa, katika mashirika ya habari ya Marekani, vituo vya habari vimepunguza wafanyikazi na utangazaji kama desturi ya vyombo vya habari, kwa mfano runinga, inakabiliana na upungufu wa watazamaji. |
For instance, between 2007 and 2012, CNN edited its story packages into nearly half of their original time length. |
Kwa mfano, kati ya 2007 na 2012, CNN ilihariri vifungu vya habarihabari hadi karibu ya nusu ya muda uliowekwa hapo awali. |