Translation of scripture into the vernacular (such as English and hundreds of other languages), though a common phenomenon, is also a subject of debate and criticism. |
Ukalimali wa maandiko hadi kwa lugha ya kawaida (kama vile kizungu na zaidi mamia ya lugha zingine), ingawa ni jambo la kawaida ila pia ni mada ya mjadala na ukosoaji. |
For readability, clarity, or other reasons, translators may choose different wording or sentence structure, and some translations may choose to paraphrase passages. |
Kwa minajili ya kusomeka, uwazi au sababu zingine, wakalimali wanaweza kuchagua maneno tofauti au mipangilio tofauti ya sentensi ilhali tafsiri zingine zinaweza kuchagua kufafanua mafungu vingine. |
Because many of the words in the original language have ambiguous or difficult to translate meanings, debates over correct interpretation occur. |
Kwa sababu maneno ya lugha asili aidha yana utata au ni vigumu kutafsiri maana yao, mijadala kuhusu tafsiri sahihi hutokea. |
For instance, at creation (Gen 1:2), is רוח אלהים (ruwach 'elohiym) the "wind of god", "spirit of god" (i.e., the Holy Spirit in Christianity), or a "mighty wind" over the primordial deep? |
Kwa mfano, katika uumbaji (Mwanzo 1:2), je רוח אלהים (ruwach 'elohiym) ni "upepo wa mungu" au "roho wa mungu" (yaani Roho Mtakatifu katika Ukristo) au ni "upepo mkuu" juu ya kina cha awali? |
In Hebrew, רוח(ruwach) can mean "wind","breath" or "spirit". |
Katika Kihebrania, רוח(ruwach) inaweza kumaanisha "upepo", "pumzi" au "roho". |
Both ancient and modern translators are divided over this and many other such ambiguities. |
Wakalimali wa kale na wasasa wamegawanyikia haya na tata zingine kama hizi. |
Another example is the word used in the Masoretic Text [Isa 7:14] to indicate the woman who would bear Immanuel is alleged to mean a young, unmarried woman in Hebrew, while Matthew 1:23 follows the Septuagint version of the passage that uses the Greek word parthenos, translated virgin, and is used to support the Christian idea of virgin birth. |
Mfano mwingine ni neno litumikalo kwenye Maneno ya Masoreti [Isaya 7:14] kuonyesha mwanamke ambaye angemzaa Immanueli, linaloaminika kumaanisha ni mwanamke mchanga, asiyeolewa kwa lugha ya kihebrania, ilhali Mathayo 1:23 inafuata toleo la Septuaginti la fungu linalotumia neno la kigiriki parthenos, linalotafsiriwa kama bikira na linalotumika kusaidia wazo la kikristo la mzaliwa wa bikira. |
Those who view the Masoretic Text, which forms the basis of most English translations of the Old Testament, as being more accurate than the Septuagint, and trust its usual translation, may see this as an inconsistency, whereas those who take the Septuagint to be accurate may not. |
Wale wanaotazama neno la Masoreti linalotengeneza msingi wa tafsiri nyingi za agano kuu za kizungu, kama kuwa na usahihi kuliko la Septuaginti na kuamini tafsiri yake ya kawaida, wanaweza kuona hii kama tofauti ilhali wale wanaochukulia la Septuaginti kuwa sahihi zaidi hawawezi. |
More recently, several discoveries of ancient manuscripts such as the Dead Sea scrolls, and Codex Sinaiticus, have led to modern translations like the New International Version differing somewhat from the older ones such as the 17th century King James Version, removing verses not present in the earliest manuscripts (see List of omitted Bible verses), some of which are acknowledged as interpolations, such as the Comma Johanneum, others having several highly variant versions in very important places, such as the resurrection scene in Mark 16. |
Hivi karibuni, gunduzi tofauti za miswada ya kale kama zile gombo za bahari ya chumvi na za Codex Sinaiticusi, zimechangia kwa tafsiri za kisasa kama 'New International' zinazotafautiana kidogo na zile kuu kama tafsiri ya King James ya karne ya kumi na saba, kwa kuondoa mistari zisizopatikana kwa miswada ya kale (Tazama orodha ya mafungu ya biblia yaliyoondolewa), baadhi zao zikiwa zinakubalika kama tafsiri, kama 'Comma Johanneum', zingine zikiwa na toleo zenye lahaja kuu katika sehemu muhimu zaidi kama mtazamo wa ufufuo ulionakiliwa katika Marko 16. |
The King-James-Only Movement rejects these changes and uphold the King James Version as the most accurate. |
T |