Hotel operations vary in size, function, complexity, and cost. |
Operesheni za hoteli hutofautiana kwa ukubwa, kazi, utata na gharama. |
Most hotels and major hospitality companies have set industry standards to classify hotel types. |
Hoteli nyingi na makampuni makubwa ya ukarimu yameweka viwango vya sekta kuainisha aina za hoteli. |
An upscale full-service hotel facility offers luxury amenities, full service accommodations, an on-site restaurant, and the highest level of personalized service, such as a concierge, room service, and clothes pressing staff. |
Kiwango cha juu cha huduma kamili ya kituo cha hoteli inatoa huduma za kifahari, huduma kamili ya malazi, mkahawa ulioko na kiwango cha juu cha huduma ya kibinafsi kama mlinda lango, huduma ya chumba na wafanyakazi wa kupiga nguo pasi. |
Full service hotels often contain upscale full-service facilities with many full-service accommodations, an on-site full-service restaurant, and a variety of on-site amenities. |
Hoteli za huduma kamili mara nyingi huwa na kiwango cha juu cha vifaa vya huduma kamili na huduma kamili nyingi ya malazi, huduma kamili ya mkahawa ulioko na aina ya huduma za vituo zilizo karibu. |
Boutique hotels are smaller independent, non-branded hotels that often contain upscale facilities. |
Hoteli za botiki ni ndogo na yakujitegemea, zisizo na chapa na mara nyingi huwa na vituo vya viwango vya juu. |
Small to medium-sized hotel establishments offer a limited amount of on-site amenities. |
Hoteli za taasisi ndogo na za saizi ya kati hutoa kiasi kidogo cha vituo vilioko. |
Economy hotels are small to medium-sized hotel establishments that offer basic accommodations with little to no services. |
Hoteli za kiuchumi ni taasisi za hoteli ndogo na za saizi ya kati ambazo hutoa makao ya msingi na huduma ndogo au bila. |
Extended stay hotels are small to medium-sized hotels that offer longer-term full service accommodations compared to a traditional hotel. |
Hoteli za kukaa kwa muda mrefu ni ndogo na za saizi ya kati na hutoa huduma kamili kwa muda mrefu ya malazi ikilinganishwa na hoteli za kawaida. |
Timeshare and destination clubs are a form of property ownership involving ownership of an individual unit of accommodation for seasonal usage. |
Nyumba ya gorofa inayomilikiwa na mpangaji na vilabu vya kulengwa ni aina ya umiliki wa mali inayohusisha umiliki wa kitengo cha mtu binafsi cha malazi ya matumizi ya msimu. |
A motel is a small-sized low-rise lodging with direct access to individual rooms from the car park. |
Moteli ni nyumba ya kulala wageni yenye saizi ndogo na jengo lenye gorofa chache na ufikiaji wa moja kwa moja kwa vyumba vya kibinafsi kutoka kwa egesho la magari. |
Boutique hotels are typically hotels with a unique environment or intimate setting. |
Hoteli za botiki ni hoteli za kawaida yenye mazingira ya kipekee au mpangilio wa karibu. |
A number of hotels have entered the public consciousness through popular culture, such as the Ritz Hotel in London. |
Idadi ya hoteli zimeingia ufahamu wa umma kupitia tamaduni maarufu kama vile Ritz Hotel huko London. |
Some hotels are built specifically as destinations in themselves, for example casinos and holiday resorts. |
Baadhi ya hoteli zimejengwa hasa kama sehemu zinazolengwa zenyewe kwa mfano kasino na maeneo ya mapumziko ya likizo. |
Most hotel establishments are run by a General Manager who serves as the head executive (often referred to as the "Hotel Manager"), department heads who oversee various departments within a hotel (e.g., food service), middle managers, administrative staff, and line-level supervisors. |
Taasisi nyingi za hoteli zinaendeshwa na Meneja Mkuu ambaye anahudumu kama mtendaji mkuu (mara nyingi hujulikana kama "Meneja wa Hoteli"), wakuu wa idara wanaosimamia idara mbalimbali ndani ya hoteli (k.m., huduma ya chakula), meneja wa kati, wafanyakazi wa usimamizi na wasimamizi wa kiwango cha mstari. |
The organizational chart and volume of job positions and hierarchy varies by hotel size, function and class, and is often determined by hotel ownership and managing companies. |
Chati ya shirika na wingi wa nafasi za kazi na uongozi inatofautiana na ukubwa wa hoteli, kazi na tabaka na mara nyingi huamuliwa na umiliki wa hoteli na makampuni ya usimamizi. |