| Blackcurrant |
mmea wa blackcurrant |
| Plant deeply to encourage plant to put out new shoots from the base. |
humeeshwa chini ku sisimua mmea kuchomoza kichwa wa mimeya kutoka chini. |
| Chop very old stems (>4 years) during late summer. |
kata shina zilizozeka zaii ya miaka minne wakati wa majira ya joto. |
| Chop up pruned bits into 15 cm lengths and plant as cuttings - burying at least 5cm in moist soil outdoors. |
katakata kipogoa kwa urefu wa sentimita kuminatano (15) na umeeshe kama vipandikizi ukiyazika anagalau sentimita tano (5) katika mchanga iliyo na unyevu inje. |
| Cuttings are fully hardy, will drop leaves in autumn and will re-sprout in spring. |
vipandikizi imara vikamilfu, zitaangusha majani wakati wa vuli alafu zitaota tena wakati wa chemichemi. |
| Will fruit during following year. |
zita zaa matunda mwaka ujao. |
| Move bushes only in winter. |
songesha vichaka wakati wa majira ya baridi pekekake. |
| If moving in summer, move during cold, rainy, cloudy weather. |
ikiwa inasonga majira ya joto, songa wakati wa baridi, mvua, hali ya hewa ya mawingu. |
| Stand bush in water (add liquid fertiliser) whilst moving. |
simamisha kichaka ndani ya maji (ongeza kioevu mbolea) wakati inasonga. |
| Lightly prune large roots to encourage root branching/new smaller roots. |
kidogo kukatia mzizi kubwa kusisimua matawi mizizi midogo mapya. |
| Pull out all traces of weeds and their roots - especially bindweed roots (white spaghetti/noodle resembling roots). |
vuta inje athari zote za migugu pamoja na mizizi yao - hasa migugu ya bind mizizi yao(tambi nyeupe/ mizizi ya tambi inayofanana). |
| Fill new hole with water, plant, drench soil with water and water well for following month. |
jaza shimo jipya na maji, mmea, lowesha udonga na maji alafu umwagilie maji vizuri mpaka mwezi ufwato |
| Mulch soil around moved plant and prevent weeds. |
tandaza udongo karibu na mmea kuzia migugu. |
| Consider shading plant from direct sunlight for a month. |
swa |