| Social science is a major category of academic disciplines, concerned with society and the relationships among individuals within a society. |
Sayansi ya jamii ni aina mojawapo ya taaluma zinazohusika na jamii na mahusiano miongoni mwa watu binafsi ndani ya jamii |
| It in turn has many branches, each of which is considered a "social science". |
Kwa upande mwingine ina matawi mengi, ambalo kila moja huchukuliwa kuwa "sayansi ya jamii" |
| The social sciences include economics, political science, human geography, demography, psychology, sociology, anthropology, archaeology, jurisprudence, history, and linguistics. |
Sayansi ya jamii ni pamoja na uchumi, sayansi ya siasa, jiografia ya binadamu, demografia, saikolojia, sociolojia, anthropolojia, mambo ya kale, sheria, historia na lugha |
| The term is also sometimes used to refer specifically to the field of sociology, the original 'science of society', established in the 19th century. |
"Sayansi ya jamii" wakati mwingine hutumiwa kama rejea hasa katika nyanja ya sociolojia, asili ya "sayansi ya jamii" , iliyoanzishwa katika karne ya 19 |
| A more detailed list of sub-disciplines within the social sciences can be found at Outline of social science. |
Orodha ya kina zaidi ya vidokezo ndani ya sayansi ya jamii yanaweza kupatikana katika Muhtasari wa sayansi ya jamii
|
| Positivist social scientists use methods resembling those of the natural sciences as tools for understanding society, and so define science in its stricter modern sense. |
Wanasayansi wa sayansi ya jamii wanatumia mbinu zinazofanana na za sayansi za asili kama zana za kuelewa jamii, na hivyo kufafanua sayansi katika hali yake halisi ya sasa |
| Interpretivist social scientists, by contrast, may use social critique or symbolic interpretation rather than constructing empirically falsifiable theories, and thus treat science in its broader sense. |
Watafsiri wa sayansi ya jamii, kwa njia tofauti, wanaweza kutumia ufafanuzi wa jamii au ufafanuzi wa mfano badala ya kujenga nadharia za uongo, na hivyo kuichukulia sayansi ya jamii kwa maana yake pana |
| In modern academic practice, researchers are often eclectic, using multiple methodologies (for instance, by combining the quantitative and qualitative researchs). |
Katika utendaji wa kitaaluma wa sasa, watafiti mara nyingi huwa wabunifu, kwa kutumia njia mbalimbali (kwa mfano, kwa kuchanganya utafiti wa kiasi na ubora) |
| The term social research has also acquired a degree of autonomy as practitioners from various disciplines share in its aims and methods. |
Utafiti wa kijamii pia umepata uhuru wa kujitegemea kama wanataaluma kutoka nyanja mbalimbali wanavyotumia malengo na mbinu za tafiti za kijamii.
|