| As stated before, a bartender is not a simple autonomous drink mixer; he/she is the most important figure in the establishment. |
Kama ilivyosemwa hapo awali, muuzaji pombe si mnywaji pweke, huwa ni mshikadau mkuu katika biashara hiyo. |
| He/she must make patrons of the establishment feel welcome, secure, and relaxed. |
lazima awakaribishe wageni vema na awafanye wajihisi nyumbani. |
| To the patrons of a bar, the bartender is a very powerful figure. |
muuzajipombe hwa muhimu sana kwa wanywaji pombe |
| Bartenders must keep their work area clean. |
wauzajipombe shartiwatilie maanani usafi kwenye baa lao. |
| Counter tops and tables must be cleaned with disinfectant, soap and water. |
meza n akauntala sharti zioshwenakupanguswa na sabunienye uwezowakuua viini,sabuninamajiwakati wote. |
| Outside furniture must also be wiped at the start of the day. |
fanichazanje sharti zioshwekila asubuhi |
| Make sure people drink responsibly. |
Hakikisha kuwa washiriki wanazingatia adabu katika starehe zao za unywaji |
| Another way to occupy the customers is to engage two strangers; a few words between two patrons new to each other can draw two strangers into a quick bond of friendship, which not only benefits them, but frees you, the bartender, up during the busy rush. |
nianyingine ya kuwatumbuiza wageni ni kuwpatanisha watu wawili ambao hawakujuana awali. Maneno machache tu yanaweza kuanzisha urafiki baina yao. Hili linaweza kuwa na faida kwao na vilevilekwako ili uendeleze kazi yako. |
| Always get your regulars something free once in a while. |
kwa wale wenye uzoefu wakuja, waweza kuwapa kinywaji cha bure mara kwa mara. |
| Make sure that you have the authority to give out a free drink occasionally, or Chips and Salsa. |
Hakikisha una ruhusa ya kupa kinywaji chabure mara kwa mara, au vibanzi au slsa |
| You're a friend,you need to make sure you can get your best customers something free when they're low on cash, stressed out, or just generally could use it. |
wewe ni rafiki hakikisha wenyeuzoefu unawapa kinywaji cha buremara kwa mara wakati ambapo wana uhaba wa pesa ama wana mawazo ya kuwatatanisha au labda wahitaji tu. |
| If a customer has been hanging at the bar continuously buying food and drinks for a while, you could mix them something cheap for free, perhaps something they haven't tried before. |
iwapo mgeni ana uzoefu wa kununua kinywaji auchakula, wawez kumpa kinywaji cha bure au chakula kigen |
| Note that in many states the giving away of alcohol is illegal for various reasons. |
Zingatia kuwa katika mataifa kadha wa kadha,upajiwa pombe ya bure ni hatia kwa sababu mbalimbali, |
| However, it is often worthwhile for a bartender to purchase a drink for his or her customer out of his or her pocket as the money is often returned with substantial interest at tip time. |
Hata hivyo, ni muhimu muuzaji pombe kumnunulia mnunuzi wke pombe na pesa zake.Hii ni kwa sababu hizi pesa mara kwa mara hurejeshwa kupitia pesa za ziada |