| We know why we tour as tourists. |
Tunajua sababu ya kutalii kama watalii. |
| You know why you may choose some parts of the globe over others by reasons such as family, cheap prices and activities- but do you specifically know why we tour? |
Unajua ni kwa nini unaweza kuchagua sehemu fulani za dunia kuliko zingine kwa misingi kama familia,bei rahisi na shughuli- lakini unajua kwa nini hasa tunatalii? |
| Tourism varies a number of ways: time, number of tourists, and different reasons being just some. |
Utalii unabadilika kwa njia kadhaa:wakati,idadi ya watalii na sababu tofauti zikiwa mojawapo. |
| For example, you may spend 2 weeks in Borth which has thousands of tourists, or you may tour in the Amazon for a month where there are little tourists and for the purpose of ecotourism. |
Kwa mfano, unaweza kaa Borth kunako maelfu ya watalii kwa wiki mbili,ama unaweza kutalii Amazon kwa mwezi mmoja; huko kuna watalii wachache na kwa minajili ya utalii unaokusudia uhifadhi mazingira na tamaduni. |
| Because of recent falls in the economy and general decrease of salary, many people are looking for cheaper places to tour. |
Kwa sababu ya kushuka ya kushuka kwa uchumi hivi karibuni na kupungua kwa mishahara kwa ujumla,watu wengi wanatafuta sehemu zisizo ghali ili kutalii. |
| This means more money for the cheaper resorts, that tend to be Mass Tourism destinations and a big company. |
Hili linamaanisha kuwa pesa nyingi zinafikia hoteli zisizo ghali;hizi huwa ni sehemu zinazotembelewa na watu wengi na kampuni kubwa. |
| Tourism can have positive and negative effects: money, jobs and a good recognition are common positives that tourism brings. |
Utalii unaweza kuwa na matokeo mazuri na mabaya:hela,kazi na kutambulika kwa njia nzuri ni matokeo ya kawaida yanayoletwa na utalii. |
| However, Global warming, pollution and destruction of habitat are all negatives people are concerned about. |
Hata hivyo,ongezeko la joto duniani,uchafuzi na kuharibika kwa mazingira ni athari ambazo watu wanahofia. |
| Solutions are being carried out to make tourism more eco-friendly. |
Mikakati inatekelezwa ili kufanya utalii kuwa wenye kuzingatia mazingira na tamaduni. |
| Eco-tourism helps local communities, wildlife and produces much less pollution than mass tourism. |
Utalii unaolenga uhifadhi wa mazingira na tamaduni unasaidia jamii za kimitaa,wanyama wa pori na unachangia kwa uchafuzi kidogo kuliko utalii unaohusisha watu wengi. |
| But are the general public willing to tour in eco-tourist destinations? |
Lakini,watu wako tayari kutalii sehemu zinazolenga uhifadhi wa mazingira na tamaduni? |