| What is “governance”? |
Utawala ni nini? |
| The term governance often gives rise to confusion because it is (erroneously) assumed that it must refer solely to acts or duties of the government. |
Jina utawala mara kwa mara huleta machanganyikio sababu kuu ikiwa(kimakosa) watu hudhani ya kwamba ni lazima ilenge matendo au kazi ya serikali |
| Of course, governments do play an important role in many kinds of governance. |
Walakini , Serikali hua na jukumu kuu kwa aina mingi za utawala |
| However, in fact, the concept is far broader, and extends beyond merely the State. |
Hata hivyo, dhana ni kubwa sana , na inazidi saidi ya Nji |
| For example, we have seen increasing reference recently to the notion of “corporate governance”, a process that involves oversight both by the State and by a host of non-State bodies, including corporations themselves. |
Kwa mfano, tumeona kumbukumbu zikiongezeka hivi karibuni hadi kwa dhana ya " Ushirika Utawala", Mchakato unaohusisha usimamizi wote na serkali Pamoja na ma nji ya nje, yakijumulisha wizara zenyewe |
| Don McLean points out that the word governance derives from the Latin word “gubernare”, which refers to the action of steering a ship. |
Don McLean anatuonyehsa ya kwamba jina utawala hutokana na neno la kilatino "gubernare" linaloashiria tendo la kuendesha meli |
| This etymology suggests a broader definition for governance. |
Hili neno laashiria ufafanusi mkubwa wa utawala |
| One important implication of this broader view is that governance includes multiple tools and mechanisms. |
Kizuizi Moja kubwa ni kwamba utawala inahusisha vipengo mingi na miundo |
| Traditional law and policy are certainly among those mechanisms. |
Sheria na mwelekezo wa zamani na pamoja na hizo vipengo |
| However, as we shall see throughout this primer, governance can take place through many other channels. |
Hata hivo, tutakavyo ona hapo mbele , utawala unaeza tendeka katika njia zingine mingi |
| Technology, social norms, decision-making procedures, and institutional design: all of these are as equally important in governance as law or policy. |
Teknologia , ushirikiano, maelezo ya kushauriana na muundo wa nji , haya yote pia ni muhimu kwa utawala kama sheria ama mwelekezo |