| What is “governance”? |
"Utawala" Ina maana gani? |
| The term governance often gives rise to confusion because it is (erroneously) assumed that it must refer solely to acts or duties of the government. |
Neno utawala hukanganya kwa sababu mara nyingi watu (kimakosa) hudhani kuwa inahusisha tu kazi na majukumu ya serikali. |
| Of course, governments do play an important role in many kinds of governance. |
Bila shaka, serikali lina jukumu muhimu katika utawala. |
| However, in fact, the concept is far broader, and extends beyond merely the State. |
Lakini, dhana hilo ni kubwa zaidi ya serikali ya nchi. |
| For example, we have seen increasing reference recently to the notion of “corporate governance”, a process that involves oversight both by the State and by a host of non-State bodies, including corporations themselves. |
Kwa mfani, wazo la "utawala wa ushirka" amabalo linahusisha usimamizi wa pamoja kati ya mashirika yasiyo ya kiserikali, serikali, na mashirika yenyewe, linazidi kupata umaarufu. |
| Don McLean points out that the word governance derives from the Latin word “gubernare”, which refers to the action of steering a ship. |
Don McLean asema kuwa neno utawala latokana na neno "gubernare kutoka lugha ya Kilatini ambalo linamaanisha kuendesha meli. |
| This etymology suggests a broader definition for governance. |
Hii etimologia inamaanisha utawala ina maana kubwa zaidi. |
| One important implication of this broader view is that governance includes multiple tools and mechanisms. |
Tukiiangalia kwa upana huo tunapata kuwa utawala inahusisha taratibu na vyombo kadhaa. |
| Traditional law and policy are certainly among those mechanisms. |
Sera na sheria bila shaka ni mbili kati ya hizo taratibu. |
| However, as we shall see throughout this primer, governance can take place through many other channels. |
Lakini, kama vile tutakavyo shuhudia katika huu utangulizi, utawala unaweza kufanyika kupitia idhaa tofauti. |
| Technology, social norms, decision-making procedures, and institutional design: all of these are as equally important in governance as law or policy. |
Teknologia, kanuni za kijamii, taratibu za kufanya maamuzi, na miundo ya taasi; hizi zote ni muhimu katika utawala kama sera ama sheria. |