The Lord of the Flies contains many examples of symbolism which Golding has incorporated to show a deeper level to the main, mostly straightforward, storyline that reveals his thoughts on the nature of humanity and evil. |
Bwana wa Warukao imejaa mifano mingi ya alama ambayo Golding ameishirikisha kuonesha kiwango cha ndani, moja kwa moja, masimulizi ambayo yanafichua mawazo yake juu ya asili ya ubinadamu na uovu. |
Below are some of the main symbols used in the book, but there are plenty more for you to discover yourself. |
Hapa chini ni baadhi ya alama zilizotumika katika kitabu, lakini kuna nyingine nyingi kwa ajili yako kuzigundua mwenyewe. |
Among such symbols may be included such small or natural seeming events like the coral reef, (Submarine warfare, surrounding of Britain by German U-boats?) or the "great fire", which may represent the first world war, ("We shall never commit to this savagery again"). |
Kati ya alama hizo tunaweza kuambatanisha matukio madogo au ya asili kama mwani, (manowari nyambizi, kuzunguka Uingereza na mashua-U za Ujerumani?) au "moto mkuu", ambao unaweza kuwakilisha vita ya kwanza ya dunia, ("Hatutajiingizakamwe katika ukatili huu tena") |
Blood is another symbol Golding uses extensively, although what he uses it for is open to interpretation. |
Damu ni alama nyingine ambayo Golding huitumia sana, ingawa namna anavyoitumia huacha tafsiri nyingi |
The different styles of leadership shown by Jack and Ralph symbolize democracy and dictatorship, much like as depicted in George Orwell's Animal Farm where he used pigs to symbolize the USSR's communist leaders. |
Aina tofauti za uongozi zilizooneshwa na Jack na Ralph ni alama ya demokrasia na udikteta, karibu sawa na ilivyokisiwa/tabiriwa katika Mnyama wa Shamba cha George Orwell ambako anatumia mfano wa nguruwe kuonesha viongozi wa kikomunisti wa Kisovieti. |
The imaginary beast that frightens all the boys stands for the primal instinct of savagery that exists within all human beings. |
Jitu la kufikirika linalowatisha wavulana wote, husimama kama hisia ya ukatili iliyomo ndani ya binadamu wote. |
The boys are afraid of the beast, but only Simon reaches the realization that they fear the beast because it exists within each of them. |
Wavulana wana hofu ya jitu, lakini Saimoni pekee anatambua kuwa wanamwogopa jitu kwa sababu yupo ndani ya kila mmoja wao. |
As the boys grow more savage, their belief in the beast grows stronger. |
Jinsi wavulana wanavyozidi kuwa wakatili ndivyo imani yao kwa jitu inavyozidi kuwa kubwa. |
By the end of the novel, the boys are leaving it sacrifices and treating it as a totemic god. |
Mwishoni mwa riwaya, wavulana wanaliachia kafara/sadaka na kulifanya kama mungu. |
The boys’ behavior is what brings the beast into existence, so the more savagely the boys act, the more real the beast seems to become. |
Tabia ya wavulana ndiyo inayopelekea jitu liwepo, kwahiyo jinsi wavulana wanavyokuwa wakatili, ndivyo jitu linavyozidi kuwa halisi. |
The boys "become" the beast when they kill Simon. |
Wavulana "wanageuka" mnyama wakimuua Saimoni. |
Golding describes the savages' behavior as animal like; the savages dropped their spears (man's tool) and "screamed, struck, bit, tore. There were no words, and no movements but the tearing of teeth and claws." |
Golding anaelezea tabia ya hayawani kama tabia ya mnyama; hayawani walidondosha mikuki yao (kifaa cha mtu) na "wakapiga kelele, pigapiga, ng'ata, rarua. Kulikuwa hakuna maneno, na hakuna mwendo lakini kurarua kwa meno na makucha" |