Ever since Pierre-Simon Laplace envisioned the Hypothetical "Laplace's Demon" in 1814, an entity with infinite computing power that knows the exact location and velocity of every particle in the universe, there has been speculation that if one had such abilities, the past, present, and future of the universe can be predicted. |
Tangu Piere -Simon Laplace apate maono kuhusu"Laplac's Demon " mwaka wa 1814,taasisi iliyo na uwezo ya kufanya hesabu isiyo na kifani ambayo inajua sehemu kamili na kasi ya kila chembe ulimwenguni,kumekuwa na uvumi kuwa kama mtu ako na uwezo huo mambo ya kale ,ya kisasa na yajayo ya ulimwengu yangetabiriwa. |
However, there are limits to even this kind of knowledge, and it may very well be impossible for mankind to ever find the much sought-after "Theory of Everything". |
Hata hivyo,kuna kikomo katika ujuzi huu,na haiwezkani kwa binadmu kupata kinachotafutwa zidi'' Nadhira ya kila Kitu''. |
Does Laplace's Demon hold proof of Predestination? |
Je Laplace 's Demon inawez kudhibitisha kujua htima yako? |
Could it even exist? |
Na je kitu kama hiki kiko? |
We will examine these questions shortly. |
Tutachunguza swali hili muda mfupi tu. |
Let us assume, for one moment, that Laplace's Demon not only could exist, but it is real. |
Wacha tuseme,kidogo tu,kuwa Laplce's Demon inweza kuwa,lakini ni kweli. |
The entity is sitting in a laboratory, doing computations, and feeding scientists data about the future of the universe. |
Kituo hiki kinakaa kwenye maaabara kikifanya hesabu na kuwapa wanasayansi usoni mwa dunia. |
This scenario could be thought of as absolute proof that free will is an illusion, and that predestination rules the universe. |
Tulio hili linaweza fikiriwa kuwa dhibitisho kwamba wasia huru ni udanganyifu,na mwishilio ndio inayotwala ulimwengu. |
As the Demon simulates particles ricocheting off of each other, forming atoms, cooling down, then gradually forming stars several billion years ago, it watches matter spin, gravity attract material; Earth forms, then life forms, then Humans slowly evolve, it predicts the chemical reactions going on inside our brains, it knows what we will do, what we will think, and what we will feel. |
Ambavyo Demon inavyoSEMA chembe zinavyo wachana zinakuwa atomi,kupoa na polepole kufanyika nyota bilioni nyingi ya miaaka yaliyopita,inaona jambo ikisokota,kuna mvuto wa vitu,udongo unkua kisha uhai unakua na binadamu polepole wanabadilika,inatabiri hali ya kikemikali inayoendlea akilini mwetu,yanajua tutafanya nini,tutafiria nini, na tutahisi nini. |
For the processes of our brain are no different, no less certain than the boiling of water or the constant flickering of minute switches in the circuitry of a computer. |
Kwa sababu hali ya akili zetu si tofauti,ni kama mchemko wa maji au jinsi sekunde ya saa invyo gonga kwenye tarakilishi. |
Neurons fire, some adrenaline is released there, some dopamine here, and you get a human thought. |
Neuroni zatoa moto ,homoni ya adrenaline inawachiliwa hapo,za dopamine hapa na unapata fikra. |
What we perceive as free will is merely routine chemical processes occurring within our brains, and we are no more than clumps of matter floating around in the universe like the coldest space rock, as time moves only forward, and the universe expands outward. |
Kile tunacho chukulia wasia huru ni hali tu ndogo ya kikemikali zinazofanyika akilini mwetu,na sisi hatutakuepo kuliko viumbe vinavyoelea ulimwenguni kama jiwe la sayari muda unavyo songa mbele, na ulimwengu unazidi kupanuka sehemu ya nje. |
and nothing- nothing is uncertain in the mind of the Demon. |
na hakuna -hakuna kilicho kosa uakika akilini mwa Demon. |