Although there are 11 players on a team there are several commonly used ways to arrange them. |
Ijapokuwa kuna wachezaji kumi na moja kwa kila timu,kuna mifumo kadhaa ambayo inatumika kuwapanga. |
The two most commonly used formations today are probably the 4-5-1, 4-3-3, and the 4-4-2 (note: first # is the # of defenders, the second midfielders, and third forwards) although there are some different variations of each. |
Mifumo mawili inayotumika kwa zaidi,labda ni 4-5-1,4-3-3, na 4-4-2 (Hii yamanisha laini ya kwanza ni walinzi,ya pili ni viungo wakati na ya tatu ni washambulizi) ijapokuwa kuna tofauti wa kiufundi kwa kila mfumo.
|
Two variation of a 4-4-2 are the "flat back four" and a "diamond back" or "sweeper, stopper" where the back four defenders form a diamond with the stopper ahead of the sweeper. |
Tofauti wa kiufundi kwa mfumo wa 4-4-2 ni walinzi wanne nyuma kujipanga kwa mwelekeo mmoja na walinzi kujipanga kwa umbo wa almasi. |
Other less commonly used formations are the 3-6-1, 4-2-4, and the 3-5-2. |
Mifumo mengine ambao nadra hutumika ni 3-6-1,4-2-4 na 3-5-5. |
Changes can be made in the formations according to the position of the game . |
Mabadiliko yanaweza kufanywa kwa ifumo kulingana na hali ya mechi. |
If one team has scored only single goal ,they can change formations in the closing stages of the match or they can put more players forward to score more goals when they are trailing by a goal. |
Ikiwa timu ya upinzani wamefunga bao moja pekee,timu ile nyingine inaweza badilisha mfumo wakati mechi yatimiya kukamilika ama kuweka washambulizi wa ziada ili kufunga mabao zaidi wakati wako nyuma kwa bao moja. |
A football match consists of two halves and each half is 45 minutes long. |
Mechi ya kabumbu huchezwa kwa vipindi viwili ikiwa kila kipindi ni dakika arubaini na tano. |
Between the two halves, there is an interval, which is not more than 15 minutes long. |
Kati ya vipindi viwili kuna muda usiozidi dakika kumi na tano wa mapumziko. |
Stoppage time (also called injury time) is the time added on at the end of each half at the discretion of the referee. |
Dakika wa majeruhi ni muda unaongezwa baada mwisho wa kila kipindi,muda huu unaongezwa kutokama na mwelekeo wa refa. |
The stoppage time added is roughly proportional to the length of delays in the game. |
Muda wa majeruhi hutoshana na mda ambao mechi ilikatiziwa wakati wa kawaida. |
These delays may be due to injuries, time lost through substitutions, general time wasting, etc. |
Kukatiziwa kwa mechi husababishwa na majeruhi,kubadilisha wachezaji,kupoteza wakati kwa makusudi na wachezaji. |
Although these may seem insignificant, stoppage time can be crucial for losing teams to equalize or even win. |
Licha kuwa haizingatiwi vile,muda wa majeruhi inaweza kuwa timu iliyonyuma kusawazisha ama kushinda. |
A notable example is the 2013-14 UEFA Champions League final between Real Madrid and Atletico Madrid. |
Mfano mzuri ni fainali ya ubingwa wa ulaya ,msimu wa 2013-2014 kati ya Real Madrid na Athletico Madrid. |
Atletico Madrid were leading 1-0 when Sergio Ramos of Real Madrid equalized in stoppage time. |
Athletico Madrid walikuwa wanaongoza hadi wakati Sergio Ramos alisawazisha katika muda wa majeruhi. |
The game went into extra time whereby Madrid won 4-1 leading to their tenth European title. |
Mechi iliongezwa mda wa ziada ambapo Madrid ilishinda 4-1 hii ikiwa ni taji lao la kumi ubingwa wa Ulaya. |
Another instance in point is the 1998-99 UEFA Champions League Final between Bayern Munich and Manchester United. |
Mfano mwingine in fainali msimu ya 1998-1999 ubingwa wa Ulaya kati ya Bayern Munich na Manchester United. |
Bayern Munich scored an early goal and controlled most of the match, until Manchester United turned things around with two goals in the 91st and 93rd minutes of the game to win 2-1. |
Bayern Munich ilifunga bao la mapema na kudhibiti mechi kwa muda mwingi,hadi wakati Manchester united walibadilisha mchezo mkondo wa mechi kwa kufunga mabao mawili katika dakika ya 91 na 93 kuifanya kuibuka mshidi kwa mabao 2-1. |