In Christian communities, Bible study is the study of the Bible by ordinary people as a personal religious or spiritual practice. |
Katika jamii ya Ukristo, funzo la biblia ni kijifunza kwa mtu wa kawaida kama funzo la kibinafsi au ya kiroho. |
Some denominations may call this devotion or devotional acts; however in other denominations devotion has other meanings. |
Wengine wanaiona kuwa ujitoleaji; lakini wengine wanaona ujitoleaji kuwa na maana mengine. |
Bible study in this sense is distinct from biblical studies, which is a formal academic discipline. |
Funzo la Biblia kulingana na hapa hutokana na mafundisho ya biblia, ambayo ni ya elimu. |
In Evangelical Protestantism, the time set aside to engage in personal Bible study and prayer is sometimes informally called a Quiet Time. |
Katika maandamano ya kiinjili, muda uliotengwa wa funzo la biblia na sala wakati mwingine huitwa wakati wa utulivu. |
In other traditions personal Bible study is referred to as "devotions". |
Katika jamii zingine funzo la biblia ni kama ujitoleaji. |
Catholic devotions and Anglican devotions both employ the Lectio Divina method of Bible reading. |
Wakatoliki na waanglikana wote hutumia njia ya kusoma kutakatifu wa usomaji wa biblia. |
Christians of all denominations may use Study Bibles and Bible Reading notes to assist them in their personal Bible studies. |
Wakristo wote wanaeza kutumia mafundisho wa Biblia ama usomaji wa biblia kuwasaidia katika funzo la kibinafsi ya Biblia. |
However, the use of such aids is discouraged in many churches, which advocate the simple reading of Bible passages. |
Hata hivyo, kutumia njia hizo hauungwi mkono na makanisa mengi, yenye hutetea usomaji wa mafungu ya biblia. |
In some cases, the practice of reading through the entire Bible in a year is followed, this usually requires readings each day from both the Old and New Testament. |
Nyakati nyingine, zoea ya kusoma Biblia nzima kwa mwaka hufuatwa, na hii huitaji kusoma kila siku kutoka agano la zamani hadi agano jipya. |
This practice, however, has been widely criticised on the basis that the understanding gained of each specific passage is too vague. |
Mtindo huu umeakataliwa kwa msingi wa kwamba uelewaji unaopatwa ni ya kijuujuu tu. |
The association of Bible study and prayer is an important one. |
Muungano wa kujifuna Biblia na sala ni muhimu. |
Christians do not merely study the Bible as an academic discipline, but with the desire to know God better. |
Wakriso hawajifunzi tu Biblia kwa ajili ya elimu, bali wakiwa na hamj ya kujua Mungu zaidi. |
Therefore, they frequently pray that God will give them understanding of the passage being studied. |
Kwa hivyo, wanasali kwa Mungu awasaidie na uelewaji wa yale wanayosoma. |
They also consider it necessary to consider what they read with an attitude of respect, rather than the critical attitude which is frequently followed in formal study. |
Pia wanaona ni vizuri ikisomwa na heshima bali si kidesturi tu kama usomaji wa kawaida. |
To them, the Bible is not just a sacred book, but is the very Word of God, that is, a message from God which has direct relevance to their daily lives. |
Kwao biblia si kitabu takatifu tu, bali ni neno la Mungu, neno kutoka kwa Mungu yenye manufaa katika maisha yetu ya kila siku |